Nov 7, 2008

T.I.D KUACHIA NGOMA MPYA,,USISHANGAE


Pamoja na kua mchizi bado ndio kwanza amefika robo ya mda wake wa kuutumikia huko aliko jela,ameamua kuachia ngoma ambayo aliitengeneza kabla ya kufikishwa huko huku ikiwa na meseji nzito inayosema

A message from prison

Hi, am still in jail and life is terrible.this is my fourth month and although many people inside here have lost hope because life is so hard but i have not.instead i have managed to create a new album.i have written  new songs explaining something of how i got into this mess.
i believe the public should be made aware of the reality of the condition of prisons in Tanzania and i believe having experience it myself iam now able to make people sit up and listen so that they understand how life is in jail in this country.
for now this message comes to you with my new single'SIWEZI'which i recorded two weeks before i was sentenced to jail, is the first song from the coming album called PRISON VOICE.
with Gods help m y management of hazikabi entertainment  and promotion, producer (kgt) and the studio kweli records the song have been able to be completed.
it explains why i cant be with the one i love, the question is can you?

please support my attempt to tell my story by playing my new song. thanx for your cooperation

i pray with God's help that we will meet soon,inshallah.

yours faithfully
  T.O.P Prison voices
as
T.I.D
watanzania ni sapoti tu anayohita jamaa tufanyeni hivyo halafu  tuone sikiliza clouds fm kipindi cha bongo flava jumamosi ya kesho itatambulishwa kwa mara ya kwanza yaani BRAND NEW AND SPANKING NEW ONLY AND ONLY ON CLOUDS FM.

8 comments:

 1. hivi TID akitoka atajiita TOP sio?x-mzozo more fire hollar

  ReplyDelete
 2. mis u broda...col me patricia

  ReplyDelete
 3. shukrani kwa kujiblogisha humu ndani.

  sijaelewa kwa ukweli zaidi lakini kava ya cd yake ndivyo ilivyokua imeandikwa. so stay tuned ikiwa ndio hivyo utakuwa wa kwanza kufahamu.

  ReplyDelete
 4. kiukweli itakuwa mkazuzu kwa mchizi kuachia ngoma

  ReplyDelete
 5. hivi kwa mwendo huu wa kuachia sinle moja kila baada ya mwaka, bado anajiita TOP in dar?

  ReplyDelete
 6. aya bana ol da best.said ruth from a-town

  ReplyDelete
 7. Nakutakia mafanikio mshkaji,ila kaza si unaona chipukizi walivyo wengi kwenye game.one luv ,peace to u

  ReplyDelete
 8. TID unajua mzee kaza buti life is stil hard men! one love sana

  ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com