Oct 5, 2009

HAPPY BIRTHDAY ZAMARADI MKETEMA

jana TAREHE 4/10 ilikuwa ni birthday ya mwanadashosti zamaradi ambapo anafikisha miaka kadhaa aliyokataa kuitaja.lakini wengine tumesharehekea leo hii ndani ya mjengoni. HAPPY BIRTHDAY ZAMARADI

3 comments:

 1. Mambo vipi mdada mjanja? Mimi naitwa Eric ni mjanja kutoka Mor town... nampongeza sana huyo mwana dadiva Zamaradi kwa kufikisha miaka holaah!!!! Hivi ni kwa nini haja2ambia amefikisha miaka mingapi bana! Ujue amenikata kivileeeeeeee!!!!!! aaaaaaaaaaaagh!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 2. mpe sana mwadada huyo mwambie akuwe na ustaarabu busara na awe mkarimu namtakia kila la kheri katika birthday yake mdau stokonyoko aka sweden

  ReplyDelete
 3. Dada Zamaradi hongera sana me nakutakia maisha mema na yenye baraka zote
  its me Ramadhani Bendu

  ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com