Apr 1, 2009

WEMA SEPETU APATA KAZI


ni kweli kwamba Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameacha masomo yake chuoni kwa kukosa ada na hata kwenda tena malaysia labda apate sponsa
kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari .miss Tanzania 2006 wema sepetu ameacha masomo yake chuoni kwa kukosa ada na hata kwenda tena malaysia labda apate sponsa. mlimbwende huyo aliyewahi na anaendelea kutokea katika vyombo vya habari kwa sababu zote zisizo nzuri amathibitisha hayo kwa kusema

siwezi kurudi chuoni kwasababu sina hela ya kulipia ada,nimwmwachia mungu na nikipata sponsa nitarudia aliongea kwa njia ya simu.
miss Tanzania huyo wa zamani kwasasa muigizaji alikuwa ni mwanafunzi wa Business Management and IT student Limkokwing University mwaka wa pili
model huyo na asha jumbe kwa pamoja siku ya tarehe 29/1/2009 walishtakiwa kwa kosa la kuharibu mali inayomilikwa na muigizaji mwenzake {boyfriend wake wa zamani} steven kanumba .walikamatwa na kufikishwa mahakamani tarehe 5 mwezi wa tatu lakini sponsa wa wema alimtenga na alipelekwa gerezani mpaka mama yake alipomtolea dhamana baada ya siku kadhaa

mama yake na wema MARIAM SEPETU siku za karibuni aliziambia radio kuwa binti yake sasa amerudi kuwa kama zamani baada ya kupitia ushauri nasaha {counceling} na kwasasa ameshapata kazi.

BLU3 WALA SHAVU KAMA LA NAKAAYA


baada ya nakaya kusain mkataba na kampuni kubwa ya sony,kundi la wasanii wengine la blu 3 kutoka uganda nao waingia kwenye deal ya kimataifa baada ya kuwa mabalozi wa kwanza barani AFRICA INTERNATIONAL ORGANZATION OF MIGRATION (UNHCR) hivyo kula sahani moja na Angelina Jolie,Ricky Martin na wengine....

DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com