May 1, 2009

LIST YA MASHOGA HADHARANI NDANI YA BONGO FLAVA


USIKOSE KUSIKILIZA BONGO FLAVA SIKU YA JUMAMAOSI YA KESHO TAREHE 2 MAY NITATAJA LISTI YA MSHOGA NDANI YA MUZIKI WA BONGO FLAVA. ATAY TUNED

MR BLU NDANI YA DUBAIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII


Mr Blu aka baisa baby, amekinyanyua pande za DUBAIIIII kupiga show mbili na kujrejea.jamaa amepanda chati sana kwa mara nyingine tena baada ya kutoa single yake inayoitwa TABASAMU.mr blu amekwenda dubai kwa mwaliko maalumu wa Hamilton Gulf International na anatarajiwa kufanya makamuzi makubwa.

DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com