Jun 1, 2009

HOT 3@3 YA KWANZA KABISA MJENGONI NEWWWWWWW


E'EH NA ADAM MCHO4MVU


DOZEN

JARIDA JIPYA LAKIBURUDANI MITAANI HIVI SASA KWA SHILINGI 1500 PEKEE


Jarida la The Base lipo mtaani pata habari mbalimbali zinazohusu bongo entertainment industry and Africa, Pata habari kuhusu Kilimanjaro music awards 2009 the event, the God , bad and ... , Bongo fleva V/S lingala who is pulling Bongo Crowds, Sababu zinazosababisha wachezaji wetu kushindwa majaribio nje, Mahojiano Maalumu na Banana Zorro na mengi mengineyo only @ 1500/ tshs usipitwe.

BUIBUI NAE ANYOA NYWELE


Buibui mzee wa mawazo jana nimekutana nae kilichonishangaza ni kuwa amenyoa nywele zake.sababu za yeye kufanya hivyo siku moja akiwa amepiga mitungi alijikuta amenyolewa upande mmoja wa nywele zake.ndio sababu zikamfanya azimalizie tu. lakini pia watu kibao wamekuwa wakimshauri anyoe nywele sababu anaonekana kama muhuni.

DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com