Jul 1, 2009

HATIMAYE APATIKANA MSHINDI WA CHEZA TANZANIAmashindano ya CHEZA TANZANIA yaliuokua yakifanyika kupitia televisheni ya chanal 10 kila siku za jumapili wikendi hii ilikuwa ndio kilele ambapo alipatika mshindi kutoka tht (tanzania house of talent) anaeitwa chriss aka coca na kupatiwa zawadi ya sofa set yenye thamani ya shilingi milion moja na kwenda kushudia mashindano ya dance africa yatakayofanyika jijini nirobi
PICHANI NI MSHINDI WA KWANZA CHRISS AKA COCA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TRIPOD MEDIA (DOROTH)


mkurugenzi mtendaji wa tripod media doroth ambao ndio waandaaji wa cheza tanzania wakishrikiana na music mayday akiongea machache baada ya mashindano kuisha na kushoto ni mtangazaji wa kipindi hicho b12

ISMAIL AELEKEA SOLO NA B-HITS


pichani ni wasanii wa b band na ismail wa pili kutoka kulia

KUTOKA KWA CEO WA B HITS (HERMY B)
ningependa kumtambulisha kwenu ISMAIL (member wa zamani wa kundi la soul and faith).wengi wenu mkimfahamu kama member wa B-BAND na ngoma yaho iliyotamba 'NZELA'bado yuko na B-BAND lakini amechukua muda wake kufanya kazi zake kama yeye (solo project) na naona kama ananidai asante kwa kufanya kazi na mimi.mpaka sasa hatujaweza kufahamu limit ya sauti ya ISMAIL lakini naamini haina limit.mpangilio wa sauti katika nyimbo hii is just breathtaking na maneno yanaweza kukufanya utoe machozi na mwisho wake kila mmoja wetu inatugusa

THE NEXT HASHEEM THABIT KUTOKA TANZANIA


ebwana eeeeee baada ya siku kama tano hivi hasheem kutangazwa kuchaguliwa kuchezea memphis katika mashindano ya NBA jana nilipata nafasi ya kumuona dogo mmoja anaesemekana kuwa na miaka 19 ndani ya banda la voda kijiji.DOGO HUYO AMEMZIDI HASHEEM THABIT KWA NCHI MOJA NA NUSU fikiria urefu huo.DILI HILOOOOOOOOOOOOOOO.

KUMBE NA SISI TUNACHAKUJIVUNIA JAMANI?


kiukweli nikiwa kama mtanzania nilikua sifahamu kwamba nasi tuna magari yanayoitwa MADE IN TANZANIA.nilipata nafasi ya kutembelea sabasaba na kuona gari lilitengenezwa hapahapa linaloitwa NYUMBU HA HA HA AAAA linafanana na nyumbu kweli, nimeambiwa mara nyingi yanatumika jesdhini lakini yeyote anaweza nunua.

DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com