Thursday, October 1, 2009

JIHADHARI KUOGA KWENYE VIDIMBWI NA MAJI YASIYO SALAMA


mtoto huyu mwenye muonekano wa ajabu alizaliwa dolakha march 26 baada ya kukaa tumboni zaidi ya miezi 9 hatimae kutoka akiwa na kilo 2 na mama ajulikanae kama suntali.
wataalamu waliokuwa wakifatilia ishu hii wamemaliza kwa kusema kuwa mwanamke aliemzaa mtoto huyu alikuwa akioga katika dimbwi na kukutana na mbegu za chura dume bahati mbaya ilikuwa ndio wakati wake wa ovulation.lakini mtoto alifariki nusu saa baada ya kuzaliwa.baba wa mtoto alisema sina huzuni yoyote kufa mtoto huyu kwasababu nashkuru mungu mke wangu hajapata na wala hana tatizo lolote.

maelfu ya watu walikimbia kumtazama mtoto huyu wa ajabu.

RATIBA NZIMA YA MTU MZIMA AY


Baada ya Kuala Lumpur-Malaysia sasa ratiba ipo hivi..AY ataperform LIVE katika miji hii-DAR ES SALAAM 3rd of Oct:ROAD TO MAMA,Venue:CLUB BILLICANAS..../ JOHANNESBURG 4th of Oct:BIG BROTHER AFRICA/...NAIROBI 10th of Oct: MTV AFRICA MUSIC AWARDS,Venue:KASARANI STADIUM/.....Sichoki kuwakumbushia TUONYESHE UZALENDO...TUZIDI KUVOTE ZAIDI NA ZAIDI

V-JAY.. KICHWA KIPYA KUTOKA A-TOWN (ARUSHA)


huyu hapa ni msanii V-jay kutoka arusha a.k.a arachuga na anakujia na
trak ya miondoko ya crunk akisema "sikufagilii", aloirekodia kwenye
studio za noizmekah chini ya producer dx a.k.a DEFXTRO...,V-jay ana
miaka 17 tu ila ni dogo aliye haso kimuziki toka mwaka 2005,amewahi
kushiriki kwenye matamasha mengi,la mwisho likiwa XXL back to
schoolbash na kuibuka mshindi wa pili...kwa arusha ameshapafom kwenye
music crossroads,via via,masai camp...V-jay anasema "music ni kipaji
changu na ninakiendeleza kwa hali na mali japo fani yangu halisi mbali
na muziki ni mechanic wa magari,sitoacha music coz najua naweza"

SIKILIZA NGOMA HIYO HAPO JUU

CHEKI NA VIDEO MPYA YA DOGO HAMIDU AKA NYANDU / 26 NUMBER


Find more videos like this on G5 world

DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com