Jul 1, 2010

LAMAR ATOA OFA KWA UNDERGROUND WA KIKE


lamar anatoa ofa kwa underground wa kike mwenye uwezo wa kurap ama kuimba iwe r&b au pop sawa tu lakini usiwe na record label. unachotakiwa kufanya ni kupeleka demo yako katika studio hizo za fish crab zilio karibu na jengo la yanga jangwani.kama hunauwezo wa kutengeneza demo basi usisite nenda kwa katika office hizo na utapewa maelekezo na utaratibu wote.

CHUNGA SANA UKIWA NA VUVUZELA LAKO HUKO NJE

TUNAELEKEA WAPI JAMANI?????

MB DOGG ALIVYOKAMUA NDANI YA MJI WA MILTON KEYNES

DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com