Sep 1, 2010

WISE AND WILD WEDNESDAY HAPATOSHI MJENGONI


mtangazaji wa kipindi kipya kinachotambulishwa leo hii kupitia clouds tv bwana Antonio Nugaz

jamaa anajua kuimba jamani, anaitwa Barnaba akiwa na Linazamaradi kulia shostito wake ambae pia yupo clouds tv irene pamoja na dataz SAFFFIIIIIII.shadee amependeza mwezi huu dizain amezimiss sana SUPRA PALE KATI ha hahaaaaaa pembeni ni Arnold kayanda

daimond akiwa na mzee wa alaam aleykum kibondee
young nelly wa G5 click na squad lake. 


its all about fun haha hahahaaa clouds tv bana

kama ulipata nafasi ukasiliza xxl leo huyu ndio yule mtoto (michael) katoka morogoro kushuhudia uzinduzi wa kambi popote

mwenzanguu naona haya mie. ha ha aaaa anaitwa angie yuleee unaemfahamu wewe anaimba.

kutoka kulia ni mwasiti, baby j na rafiki yao.

NI WISE AND WILD WEDNESDAY LEO CLOUDS TV

kupitia clouds tv leo hii kutakuwa na uzinduzi wa kipindi kingine baada ya kutambulishwa TAKE 1 wiki iliyopita, leo utakona kipindi kingine kinachoitwa KAMBI POPOTE kinachoendeshwa na Antonio Nugaz.itakua live runingani kwako kuanzia saa mbili za usiku.STAY TUNED 

ALIKIBA AJITOA G RECORDS


baada ya kufanya kazi na G Records, miaka kadhaa tangu utambulisho katika industry ya bongo fleva Ali kiba jana ameamua kuachana na uongozi huo na kuamua kufanya kazi zake mwenyewe.
nilipokea sms kutoka kwa guru ambae ni C.E.O wa G records ikisema kuwa kuanzia sasa hawatakuwa na alikiba kwasababu kaomba kufanya kazi zake mwenyewe na sasa wamebaki na album zetu mbili.

DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com