Feb 1, 2011

JAFFARAI: NIMEACHANA NA MPENZI WANGU SHYROSE.

Msanii wa bongo fleva jaffarai, ametangaza rasmi kuachana na aliekuwa mpenzi wake kwa miaka minane (8) Shyrose Bhanji kupitia ukurasa wake wa facebook.pamoja na kutangaza hivyo lakini hakutaja sababu yoyote ya yeye kuachana nae bali amesema ni mambo mengi sana yamechangia


"NIMEAMUA KUACHANA NA ALIEKUA MPENZI WANGU KWA TAKRIBAN MIAKA 8 SHYROSE BHANJI.."JAFFARAI

DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com