Apr 7, 2012

CHANZO CHA KIFO CHA KANUMBA CHA ELEZWA


KWA MUJIBU WA MDOGO WA MAREHEMU STEVE KANUMBA, ALISEMA KUWA ELIZABETH MICHAEL MAARUFU KAMA LULU ALIKUJA NYUMBANI KUKAWA NA KAUGOMVI AMBAPO WAKAINGIA CHUMMBANI WAKIWA HUKO BAADA YA MUDA,LULU ALITOKA NA KUMUITA YEYE KUMUAMBIA KANUMBA KAANGUKA, YE ALIPOENDA AKAMKUTA KAANGUKA NDIO AKAENDA MUITA DAKTARI WA KANUMBA AMBAPO ALIPORUDI HAKUMKUTA LULU, LAKINI HADI TUNAVYOONGEA LULU YUKO POLISI OSTERBAY KWA AJILI YA MAHOJIANO NA POLISI.....

5 comments:

 1. please lulu asichukuliwe kama chanzo cha kifo cha kanumba ila kanumba achunguzwe vizuri labda alikuwa na matatizo mengine bila kujua jamani.rip kanumba

  ReplyDelete
 2. ebhana kwani huyo chick ndo kamuua tuseme?

  ReplyDelete
 3. hapo hamna mjadala sister du lulu yuko hatiani

  ReplyDelete
 4. tumepoteza jembe la filamu tz ,pole lulu hayo ndo maaisha inkubidi uombe mungu akusaidie na janga hilo.by paul john a.k.a pajo/magomeni

  ReplyDelete
 5. jamani kwanini polisi wamshikilie lulu peke yake wakati mdogo wake kanumba pia alikuwepo eneo la tukio baada ya lulu kuondoka na alie kuja kusibitisha kifo ni daktari/? na lulu alipo toka chumbani alimuita mdogo wake kanumba na kumwambia kuwa kaka yake amedondoka?/ kisha akaishia zake./ kilicho endelea nyuma anajua mdogo wake baadaye aka muita daktari? tujiulize lulu alipo ondoka nyuma kiliendelea nini/?? na nani alikuwepo ?? na kwanini tuhamini maneno ya mtu bila kufanya uchunguze/?? hapa nilitalijia na mdogo wake kanumba naye aisaidie police sio lulu peke yake/??samahani kama nitakuwa nime wakosea watanzania wenzangu lengo langu ni kujifunza>??? na kupanuana mawazo na watu/?? sio kumuhukumu mtu kwani mimi sio mahakama amani itawalale mioyoni mwenu@ tuko pamoja

  ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com