Apr 7, 2012

PICHA ZA MWILI WA MAREHEM KANUMBA UKIINGIZWA CHUMBA CHA MAITI MUHIMBILI


 Maofisa wauguzi wakiuingiza mwili wa Marehemu Kanumba chumba cha Mauti katika hospitali ya Muhimbili.
Ray Kigosi mwenye kapelo akishuhudia mwili wa swahiba wake ukiingizwa chumba cha Maiti Muhimbili usiku huu.
 
Msanii ambaye kwa sasa anakuja juu kwa kasi JB akiwa na masikitiko makubwa ndani ya chumba cha maiti Muhimbili.Mashabiki wakiwa wamekusanyika katika viunga vya hospitali ya Muhimbili. Habari za awali ambazo kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni Afande Kenyela amesema kuwa Kanumba…

1 comments:


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com