Monday, November 19, 2012

CHECK OUT:MAPANDE 20 BARZ NIKKI MBISHI PAMOJA NA SONGA


Kama wewe unapenda Hip Hop, basi kwa namna moja au nyingine nikizungumzia Tamaduni muziki utakuwa unanielewa au sio, sasa kitu ambacho ninahitaji kukupatia wewe shabiki wa Hip Hop  ni kwamba leo nimekuandalia Mistari konde namaanisha mapande 20 barz kati ya Nikki Mbishi na Songa.!!!!! ebu chukua time yako ya kushuhudia kile ambacho walichokifanya humo ndani.Bila kumsahau Azma naye katishaaa!!!!!
               
               
               

0 comments:

Post a Comment


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com