Sunday, April 1, 2012

KANYE WEST ASHTAKIWA KWA KUFANYA SAMPLE YA COVER YA ALBUM

 Emcee na producer mkali wa ngoma ya Power the
 one and only Kanye West ameshtakiwa na 
Poindexter na ametakiwa kulipa dola laki tano
 ($500,000). March 27th mahakama ilitaja case hiyo
 ya Kanye West kwa kutumia jina la wanamuziki wa
 miaka ya 1970 Group ya Huko New York The Persuaders “ Trying
 girls girls Out” kwenye mixtape ya mwaka 2006 iliyoitwa
 “ Freshman Adjustment 2” kwenye cover ya “ Girls Girls” 
na sample hiyo hiyo ikaruhusiwa kutumika kwenye production
 ya Just Blaze kwenye wimbo wa Jay-z mwaka 2001 album 
yake ya Blue Print ambapo pia Kanye aliweka nguvu kubwa
 kwenye kuitengeneza.Wimbo uliowapatia umaarufu
 kundi hilo la Persuaders ni ngoma yao ya
 mwaka 1971 "Thin Line Between Love and Hate"

 Habari kutoka AllHipHop.com 
Kanye West ametakiwa alipe dola laki tano ($500,000). 
Poindexter alisikika akilalamika jinsi Kanye West alivyokataa
 kuweka mambo sawa toka mwanzo. Haizidi mwezi mmoja 
baada ya kuweka mambo sawa ya kisheria na Syl Johnson. 
"  Nimetoa nafasi ya kutosha ili tuweze kumaliza
 swala hili nje ya mahakama na Kanye West 
badala yake hajataka kutoa ushirikiano" 
Alisema Robert Poindexter.

DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com