Jun 1, 2012

FOLLOWERS MILIONO 25 LADY GAGA AVUNJA RECORD DUNIANItarehe 1/6/2012 miss drama queen Lady Gaga amesherehekea kuvunja record ya kuwa na wafuasi wengi kwenye mtandao wa kijamii wa twitter duniani kwa kufikisha watu millioni ishirini na tano ,idadi iliyosawa na  nusu ya population ya watu wa uingereza wakichanganywa na wales.
Gaga amesherehekea kwa kuandika kwenye twitter " 25milliontweetymonster wow! iam officially feeling like the lukiest girl in the world"
Gaga alukua mtu wa kwanza kuvunja record ya followers million 10, 15 na 20 pia.
Gaga ambae yupo kwenye tour Asia kwa sasa anafatiwa kwa karibu na Justin bieber akiwa na watu karibu millioni  23, katy perry million karibu 20.5 na Rihanna million karibu 20

SIKILIZA U HEEEEEEEEEARD! YA LEO IJUMAA 1/6/2012.COVER YA SINGLE MPYA YA LIL WAYNE “MY HOMIES STILL” FT. BIG SEAN


.
Lil Wayne anaweza akawa na beef na mtu mzima Pusha T, lakini haijaharibu uhusiano wake na Big Sean. Weezy alimtaja rapper kutoka kampuni ya G.O.O.D Music  kwenye ngoma ya “ My Homie Still” Single ya kwanza kutoka kwenye album yake ya 10 ya “ I am Not a Human Being II, ikiwa ni muendelezo wa kuachia ngoma toka 2010. Ngoma hiyo inategemewa kutoka kesho imeripotiwa na Rap-Up.Com. Kwa mara ya kwanza icheck cover art yake hapo.

DIAMOND: NASHUKURU WEMA SEPETU ENGLISH COURSE

"Namshukuru sana mama yangu mzazi kwa elimu aliyonipatia na nashukuru sana Wema Sepetu English Course" Diamond ameyazungumza haya leo ndani ya xxl baada ya nsanii Diamond kupongezwa kwa kujibu vizuri katika interview aliyoifanya (kingereza) baada ya kupiga show  Big brother Africa. kusema ukweli amenisaidia sana kufanikisha kwangu kujua kiingereza maana alikua akinielekeza sana tulivyokuwa inlove, nisipo kuwa na shukrani kwa kidogo basi siwezi kuwa na shukrani hata kwa kikubwa" amesema Diamond.

PILI PILI HOHO


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com