Sep 1, 2012

MCHOMVU APATA SHAVU LA KUWA JUDGE KATIKA FANALI ZA NOKIA

                                                                       Adam mchomvu
     
Among of hottest show in town double XXL kutoka The people station clouds fm namzungumzia Baba john au Adamu mchomvu amepata shavu la kuwa the judge katika mashindano ya nokia don’t break the beat ambayo yatafanyika nchini Kenya Nairobi.Adam aliweza kusema kwamba  kuwa judge sio ndiyo kama tutashinda ile anacho omba kwamba  sisi kama Tanzania tuwapigie kura washindi ambao wanaenda kuiwakilisha Tanzania katika mashindano haya ambayo yanafanyika  nchini Kenya Nairobi  mwezi huu wa 9 ambao washindi wetu wanaofaa bendera kwenda katika mashindano hayo ni Ally chuma na Njema mtandika. Mchomvu alimalizia kwa kusema kwamba pia hatakule kama kuna watanzania  aliomba wajitokeze kwa wingi ilituwape support ya kutosha hawa wanao wakilisha Tanzania katika fanali hizi.
 
    

USIKU WA M LAB SHOWCASE ZA TAMADUNI MUZIKI

         Stereo akiwapa puncho line mashabiki wake katika uzinduzi wa album yake pamoja na Nikki mbishi jana katika club ya  new msasani jijini Dar es Salaam.
         One incredible naye ni moja kati ya wasanii wanaotokea M lab chini ya producer duke aliwapangawisha mashabiki wake sana katika uzinduzi wa album ya nikki mbishi na stereo baada ya kumwambia Texas azime beat na kuanza kutumia beat ya mdomo.
        Mashabiki walikuwa wana furaha zaidi baada ya kumuona baba marco a.k.a Nikki mbishi katika stage jana maeneo ya msasani club katika uzinduzi wa mixtape pamoja na album kutoka m lab chini ya producer duke jijini Dar es salaam.
                                                                  Nikki mbishi
              Producer Duke akiongea machache na mashabiki wa hip hop waliofika katika uzinduzi huu wa album ya nikki mbishi na stereo jana maeneo ya msasani club jijini Dar es Salaam.
            Crew nzima ya m lab pamoja na producer wao waliamua kupamba stage na kushukuru mshabiki wao walioweza kufika katika uzinduzi wa mixtape pamoja na album ya Nikki mbishi na Stereo katika club new msasani jijini Dar es Salaam.
DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com