Oct 1, 2012

X WA JAY Z BLUE CANTREL ATOA PINI LA DISS KWA JAY Z

 


Aliekuwa X wa rapa Jay Z Blue Cantrel amerikodi pini la diss kwa Jay z. Apparently Blu feels SOME KINDA WAY about not being able to CASH OUT on his $500M. Ingawa yeye ndio aliemtema 
anyways hiki ndicho alichokisema kwenye baadhi ya mashairi yake 
"When I was your girl, and you were my man, I stood by your side, when no one was there - all the way to the end, If you'd ever need me. But instead it seems you left me for dead.What you said with your mouth, you didn't show with your actions, And foolishly I believed it, Now I'm the one who has to deal with the let down - broken promises that you made to me."
inasemekana pia Blue ana diss pini lingine linalomshukia mtoto wa Jay Z, ambapo ansemsema mtu ambae ametumia jina lake "Blue"
 

 

HII NDIO ZAWADI ALIYOPEWA LIL WAYNE KWENYE BIRTHDAY YAKE NA NAICKI MINAJ

Hii ndio zawadi aliyoitoa Nicki Minaj kwenye birthday ya Lil Wayn, ni gari aina ya T-Rex yenye thamani ya dola za kimarekani 70,000HAPPY BIRTHDAY SALAMA

HAPPY BIRTHDAY SALAMA JABIR, MAY YOU LIVE LONG BADO TUNAKUHITAJI SANA 

SEX PARTY YA MIAKA 30 YA BIRTHDAY YA LIL WAYNE

 


Taarifa zinadai kuwa boss wa Young Money Lil Wayne ametumia dola za kimarekani 180,000 kugeuza jengo tupu na kuwa Club kwa ajili ya party ya siku yake ya kuzaliwa.
inasemekana Wizzy aliigeuza party hiyo na kuwa sehem ya project ya X kwa kutenga chumba maalum kwa ajili ya ngono kilichokuwa na Condom, lube na Tang amesema mmoja kati ya waliokuwa kwenye party hiyo kupitia mtandao wa Fix

ndani ya klabu kwa moja matukio ya usiku only.The raunchy kwamba walikuwa sherehe katika Anime yameelezwa kwa wenyeji kama "Mradi XXX" - kulingana na RumourFix.

"Walikuwa na chumba cha ngono kilichokuwa na kondomu, lube na Tang" huku wanawake wakitirirka wakiwa nusu uchi kuongeza hamasa katika party hiyo" kimesema chanzo hicho


Bash ilihudhuriwa na watu kama kina Chris Brown, Paris Hilton, na Nelly, lakini Wayne alionekana kuogelewa na wanawake usiku mzima.

EBSS: WASHIRIKI 12 WAPANDA STAGE NAMBA ZA KUWAPIGIA KURA ZATANGAZWA

 MAELEZO: CAESAR DANIEL MTANGAZAJI WA EBSS AKIPOZI KWA AJILI YA PICHA NA WASHIRIKI WA EBSS, VINCENT MUSHI (KUSHOTO) NA GODFREY  LEVIS (KULIA).

SIKILIZA UUU HEAAAARRRRD 0CT 1ST 2012

  Inasemekana etiiiiiiiiiii,  eeeeeti,  mamodo waliokuwa wanatakiwa kuwepo kwa ajili ya shooting ya wimbo wa Mb Dogg unaoitwa "The only one", hawakutokea woote baada ya kupigwa mtungo na babu wa kizungu...aku mi sijui ila taarifa ziko hapa kwenye u heeeard na Gossip Cop mwenyewe..


CHEKI NA BEST LYRICS ZA RICKY ROZAYB.m.f lyricsSongwriters: Lewis, Lexus; Roberts, William Leonard; Styles, David; LyricsFeaturing: Styles

I think I'm Big Meech, Larry Hoover
Whippin' work, hallelujah
One nation under God
Real niggas getting money from the fucking start

I think I'm Big Meech, Larry Hoover
Getting work, hallelujah
One nation under God
Real niggas getting money from the fucking start

My Rolls-Royce triple black, I'm getcha ho
Balling in the club, bottles like I'm Ichiro
Rosé, that's my nickname
Cocaine running in my big vein

Self-made, you just affiliated
I built it ground up, you bought it renovated
Talkin' plenty capers, nothing's been authenticated
Funny you claimin' the same bitch that I'm penetratin'

HAPPY BIRTHDAY NONINI

Nonini
Kutoka 254 leo ni siku ya kuzaliwa ya mtu mzima Hubert Nakitare a.k.a Nonini anatimiza miaka 30 toka azaliwe mwaka 1982 tunamtakia maisha mema na harakati nzuri katika game la muziki.
na hii ni video yake mpya aliyoidondosha ijumaa iliyopita  

NU MUSIC: T-PAIN – ‘STOIC’ [MIXTAPE]

Ni moja kati ya wasanii ambao  kiukweli wanafanya  vizuri katika game la muziki pia kwa siku ya jana alikuwa anatimiza miaka 27 toka azaliwe mwaka 1985.Baada ya kutimiza miaka hiyo T pain aliamua kuachia mixtape yake ya tatu ambayo inakwenda kwa jina la Stonic  kwa hiyo wale mashabiki wa T pain dzain inawahusu hii.

USIKU WA CHID BENZ NDANI YA MAISHA CLUB

              Baghdad japokuwa ni mnene lakini aliweza kuimiliki vizuri stage ya maisha club.
  Izzo busness akionyesha vitu vyake kwa mashabiki wake ndani ya maisha club Jijini Dar ws Salaam usiku wa kuamkia leo.
 Naweza kusema kwamba msaniii huyu alichokifanya katika stage ya maisha club mpaka mashabiki wakamkubali kilivyo ni pale ambapo aliamua kuimba bila kutumia beat yoyote basi mara watu wote wakasemaa oyoooooooo.
 Tunda man alikuwa ni moja kati ya wasanii ambao wamekisanua mbaya ile stage ya Maisha Club kama unavyomuona hapo alikuwa akiimba pini lake la Demu sio.
 Nuru naye alikuwa ni moja kati ya wasanii ambao walitoa burudani ya kutosha kabisa katika  usiku wa Chid Benz show ndani ya Maisha club Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
Bila kusahau ma Cow boy Ngwea naye alikuwa ni moja kati ya wasanii ambao wamekisanua mbaya ile stage ya maisha club na kukubalika kwa mashabiki.
Quick Racka akionyesha vitu vyake kama unavyomuona mzee wa katika naye alikuwa ni moja kati ya wasaii ambao wamekisanua mbaya ile stage ya maisha club usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es Salaam.
                                                                     Country boy
       Sasa ile show ambayo kila mtu alikuwa anaisubiria kwa hamu ndiyo imefika pale alipopanda mtu mzima Chid benz na kuanza kuimba katika stage ya maisha club jijini Dar es Salaam.


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com