Feb 22, 2013

JCB AFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE DIANA JORGENSEN

JCB afunga ndoa na girlfriend wake wa kitambo,Diana
Jorgensen 
ambae kwa sasa wanamtoto mmoja pamoja, huko jijini ArushaJcb akipitia makaratasi huku mke wake akicheza na pete na maua na mwanae
Baada ya kufunga ndoa, kinachofata huwa ni picha na hapa ni akiwa na ndugu jamaa na marafiki

8 comments:

 1. Hongera zao, untill death do them aparty.

  ReplyDelete
 2. oyoooo jiko ilooo.lkn vp sjajua anatoke nchi gan uy manz?

  ReplyDelete
 3. Mambo bado yanaendelea vijana wanapenda kuolewa na wazungu bado linex linenga muda mfupi ujao

  ReplyDelete
 4. hongera chalangu. Ila umeingia uko uku tuachie usirudi tena milele. Ameeen...

  ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com