Feb 5, 2013

NIKKI MBISHI SASA KUDILI NA NEY WAMITEGO

 
Wakati wakiachia ngoma yao mpya "Kill yourself", God Zilla, Nikki Mbishi na Cliff Mitindo kutoka kwenye mixtape isiyo na jina mpaka sasa, Nikki mbishi amegusia pia kuhusiana na ngoma ambayo ameshaitengeneza aliyoipa jina la Ney wa Mitego.
Kuna nyimbo inayofata sasa ambayo iko tayari, inaitwa Ney wa Mitego, lakini haina uhusiano wowote na msanii Ney wa mitego kutoka manzese, yaani hapa namzungumzia msichana anayeitwa Neema, ambaye ananitega sana yaani kama ...
'Ney wa mitego, anagawa ndogo ka gay mwenye pepo'(moja kati ya mistari kwenye wimbo huo)
hahahahaaaaa haya tuisubiri

0 comments:

Post a Comment