Apr 29, 2013

HUYU NDO BABA MZAZI WA WEMA SEPETU

Leo hii kupitia mtandao wa Instagram, Pttiman alitupia picha akiwa baba yake mzazi, mzee Sepetu, huku pembeni akiwepo mtu wake wa karibu sana "Pettiman. Nimeona ni vizuri kushare na wewe, kwasababu nilikuwa sijawahi kabisa kumuona sehem yoyote

13 comments:

 1. umefanya pouwa ku2juza mshua wako,bi mkubwa 2shamsoma sana.

  ReplyDelete
 2. love dat, dats why u a WEMA lol, big up bby gul, u gonna rock da world

  ReplyDelete
 3. baba na mwanae,

  ReplyDelete
 4. wmenye bwa wengine mnadandia 2

  ReplyDelete
 5. ua halla bob gal

  ReplyDelete
 6. pumzika kwa amani ngwair Mungu alitoa sasa anatwaa jina lake lihimiwe milele AMINA

  ReplyDelete
 7. kama kawaiz msemwa wa wengi big up sana kua karibu na mshu hivyo ani!

  ReplyDelete
 8. Mshua wa ukweli..binti wa ukweli kama unabisha andaman pekeako uone ka Mwema atasumbua FFU wake...we ni virungu vya mgambo tu...!!

  ReplyDelete
 9. Baba na mwana xaaaaaaaaaaaaaaahhhhfiiiiiiiii

  ReplyDelete
 10. a.k.a chanda chema

  ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com