May 28, 2013

BREAKING NEWS: MSANII ALBERT MANGWEA AMEFARIKI DUNIA

Rapper, Freestyler, Ngwea amefariki dunia leo hii katika hospitali ya St Hellen iliyoko South Africa, sababu za kifo chake hazijatajwa...endelea kutembelea blog hii kwa habari zaidi.

24 comments:

 1. Rip bro tujulishen kaugua nin

  ReplyDelete
 2. Ameumwa nn jamani? R.I.P

  ReplyDelete
 3. RIP COW WIZZ.....!

  ReplyDelete
 4. Wanasema SEMBEEE!

  ReplyDelete
 5. Speed 120. . . . . ndugu yetu katuacha kimyakimya.

  ReplyDelete
 6. Dah wap tena tutampata mkal wa mtindo huru(free style) albet umeacha pengo r.i.p

  ReplyDelete
 7. REST IN PEACE KAKA ULIMWIMBIA MOTIE MENGI KUA AMETUTOKA NAWE SASA UMETUTOKA MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI, UMEKWENDA NASI NYUMA TUTAFATA POLE TID, POLE, P FUNK, POLE DAKI MASTER POLENI WATANZANIA WOTE By DQverse apa AMEN.

  ReplyDelete
 8. May ua soul rest in internal peace. Neighbour, I will mic those good moment at tsquire garden,

  ReplyDelete
 9. hata niifa leo pengo lang halina spea, KWELI cOW WIZZY MSALIMIE MAMA ANGU MWAMBIE NIMEMMSI.

  ReplyDelete
 10. r.i.p kaka kila kifo kinachanzo/sababu yake cha msingi tuta kuombea kwa mungu akupunguzie adhabu amen ma men

  ReplyDelete
 11. sikuamini but imenibidi coz naamini njia ni moja tu RIP

  ReplyDelete
 12. KUNA WENGINE KWENYE GAME KIUFUPI NDO WASHAPOTEA, USHAAMBIWA USIYAGUZE MAJI KAMA HUWEZI KUOGEKEA.......RHYMES ZAKO ZIPO NASI DAIMA KAMANDA EE.....RIP HOMMY

  ReplyDelete
 13. no one like you. in my mind you still alive.

  ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com