May 6, 2013

VIDEO NA AUDIO YA FULL INTERVIEW YA RUGE MUTAHABA MKURUGENZI WA UTAFITI NA MAENDELEO CLOUDS FM KUHUSU TUHUMA ZA LADY JAY DEE

Leo hii kupitia Clouds Fm, Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo kutoka kituo hicho, ameongelea na kuamua kutoa ufafanuzi kuhusu mashambulizi aliyokuwa akiyapata kutoka kwa mwanamziki Lady Jay Dee....


9 comments:

 1. Ametoa ufafanuzi gani? Siyo kila mtu amepata nafac ya kusikiliza radio.

  ReplyDelete
 2. Zahiri Zorro alisema kwenye kipindi cha mkasi na Salama wanamuziki wa Bongo wanachanganyikiwa Sikazi hata jide kesha data sasa hataki kukubali matokeo.

  ReplyDelete
 3. HAKUNAGA,why always RUGE wakati CLOUDS ipo juu daima na ina wengi wakali lkn hawajadiliwi kiivi??lazima kuna something behind the scene ambayo wanaijua wao wnyw wanaohusika

  ReplyDelete
 4. She z nt stupid to complain! Ruge gotta do smthng

  ReplyDelete
 5. CLOUDS JIANGALIENI

  ReplyDelete
 6. lisemwalo lipo kama halipo linakuja

  ReplyDelete
 7. ya ngoswe hayo me mwenyewe mgeni!

  ReplyDelete
 8. duuuh cloudz mnaanza kupoteza mafouss wenu kutokan mbishe za kimagumashi

  ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com