May 21, 2013

IZZO B KUFANYA SHOW NDANI YA MBEYA

Siku ya tarehe 31 ndani ya Mbeya City alikotoka Rapper Izzo b patawaka moto, moto utawaka ndani ya Club Vibe, ikiwa ni mara yake ya kwanza kufanya show yake yeye kama yeye, kwa kiingilio cha buku 7 tu huku akisindikizwa na wasanii wa pale pale Mbeya na Rapper kutoka Morogoro Stamina.watu wa Mbeya hii ni time yenu kumpa sapoti mtu wenu anaeikubaili Mbeya

0 comments:

Post a Comment


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com