May 20, 2013

JOKATE MWEGELO AIPELEKA KIDOTI TIME MKOANI KWAKE

 Mrembo na mjasirimali hapa nchini Jokate Mwengelo weekend hii amekuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya UMISSETA 2013 ngazi ya wilaya katika halmashauri ya Songea mkoani Ruvuma.
 Jokate alikuwa kama mgeni rasmi kupitia kampeni yake Kidoti Time yenye lengo kusaidia na kuibua vipaji mbalimbali vya wanafunzi mkoani, akizungumza na mtandano alisema"


Kidoti Time ni program ambayo itakuwa ikifanyika mashuleni kuanzia term(muhula) ujao katika masomo lengo ni kuvumbua vipaji mbalimbali vya wanafunzi kama Uchoraji,uimbaji,ubunifu,kuingiza na vipaji vingine...!!!!!

1 comments:

  1. Mmmmh,hiyo timu katika picha no 1 wanakipiga wakiwa hawana viatu au ndo swagg!!!!!!

    ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com