May 22, 2013

NIKKI MBISHI "MSULI TEMBO MATOKEO SUNGURA"Nikki Mbishi soon, kuachia wimbo ambao hautakuwepo kwenye media yoyote ile bali kwenye simu na computer za mashabiki wake.Nikki kupitia ukurasa wake wa facebook amesema, mtu kuipata single hiyo inabidi achangie shilingi 1000, na atapokea oda kupitia comments za ukurasa wake ambapo zoezi hilo anategemea kulianza siku ya jumatatu.
Wimbo huo ambao amaupa jina la "Msuli Tembo Matokea Sungura" unalenga kuwapa moyo watu wote wanaotumia nguvu, akili na jitihada kwa kiasi kikubwa lakini wanachokipata ni kidogo kulinganisha na walichokiwekeza

Kuna track yangu mpya mahususi kwa mashabiki tu wala sitaitoa kwenye media inaitwa "MSULI TEMBO MATOKEO SUNGURA" ikilenga kuwapa moyo watu wote wanaotumia nguvu,akili na jitihada kwa kiasi kikubwa lakini wanachokipata ni kidogo kulinganisha na walichowekeza,k ama wewe ni mmoja wa watakao niunga mkono kwa kuchangia Tsh 1000 ili uipate unaweza kupost comment yako na zoezi litaanza Jumatatu!#Asant eni

2 comments:


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com