May 24, 2013

PARIS HILTON ATUA NDANI YA CASH MONEY RECORDS

 
Baada ya Busta Rhymes, Drake, Nicki Minaj, Birdman, Lil Wayne sasa ni zamu ya Paris Hilton kutia timu ndani ya familia ya Cash Money.
mwanadada huyo ambae amegeukia kwenye mziki amesainiwa katika chama hilo kubwa kama ilivyoripotiwa na Rap-Up.com.
habari zinasema kuwa mwanadada huyu ambae ana mafanikio sana katika biashara zake ana record album yake ya pili kwa sasa ambayo itasimamiwa na Cash Money ambayo itahusisha wasanii wengi wa hiphop kama Lil Wayne.
jina la album hiyo bado haijatangazwa ila ya kwanza iliyotoka 2006 ilikuwa inaitwa Paris.

0 comments:

Post a Comment


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com