May 21, 2013

PROFESSA JAY ACHUKUA KADI YA CHADEMA UENDA 2015 AKAGOMBEA UBUNGE

Msanii mkongwe nchini maarufu Joseph Haule a.k.a Professa Jay amejiunga rasmi katika chama cha Demokrasia na maendeleo'CHADEMA'
Professa Jay amekabidhiwa kadi hiyo na mbunge wa Mbeya mjini 'Joseph Mbilinyi' a.k.a Sugu.kujiunga kwa msanii huyo katika chama hicho kuna uwezekano akagombea ubunge 2015.!!!!!!!
Huu ndiyo ujumbe wa Professa Jay baada ya kupokea maswali mengi kutoka kwa mashabiki wake katika mtandao wa twitter.
'Mmeniuliza sana kwamba mimi ni CHAMA gani jibu litapatikana Muda sio mrefu!! Still in Dodoma STAY TUNED'


4 comments:

  1. Karibu kwa wapambanaji wanaopigania nchi yao dhidi ya majangiri wa utajiri wa nchi yetu.

    ReplyDelete
  2. xaafi kaka komaeni kupigania wanyonge

    ReplyDelete
  3. we kama hujitaki jaribu kuingia ccm uone hata kama unaamua kufanya show utapata watu

    ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com