May 22, 2013

WANANDOA WATATU WALIOOANA SIKU MOJA NDANI YA KANISA MOJA WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA NDOA ZAO

Kusherehekea miaka 50 ya ndoa ni sherehe yenye furaha sana kwa kila waliofikisha miaka hiyo, zaidi ni pale unaposherehekea na rafiki zako wanne, ambao nao wananyanyua glasi kusherehekea sherehe yao wakiwa wanafikisha miaka hiyo hiyo ya ndoa zao, ila zaidi ni pale ambapo hao unaosherehekea nao, kama bahati walifunga  ndoa siku moja na wewe ndani ya kanisa moja.

 Norman na Mary Dickinson na Harry na Jean Winstanley, kutoka Flookburgh, Cumbria,  Alan na Anne Akrigg, kutoka Cark, Cumbria, wote walioana kwene kanisa la St John's lililopo  Flookburgh siku moja miaka 50 iliyopita mwaka 1963.

2 comments:

  1. hyo ndo true love bwana,nawapa bigup xaaaana

    ReplyDelete
  2. Good and sound


    ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com