Jun 10, 2013

NOORAH AFUNGA NDOA HARUSI YAFANYIKA SHINYANGA

Msanii Noorah ameungana na wasanii wengine kuuaga ukapela na kuingia katika maisha ya ndoa.harusi ya Noorah yafanyika nyumbani kwa mkoani Shinyanga.wasanii wengine waliooa karibuni ni pamoja na Shettah, Black rhymo, H baba na wengineo..Kila la kheri brother

4 comments:

  1. hongera sana m2 mzima kwa kupata Jiko dzain flan majukumu yataongezeka ama nini

    ReplyDelete
  2. hongera zako bro!!

    ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com