Jun 27, 2013

Picha: Harusi ya Paul james na Wasiwasi mwabulambo

Picha za harusi ya Paul James na Beatrice, Paul James Mtangazaji wa Clouds FM Kipindi cha Power Breakfast, Harusi ilifungwa siku ya Jumamosi 22/6/2013 jijini Dar es salaam.
Harusi ya wasiwasi Mwabulambo na Janeth ilifungwa kwenye Kanisa La Kilutheri Boko Dar Es Salaam Na Baadae kwenye tafrija iliyofanyika Mbezi Beach siku ya Jumamosi 22/6/2013.Clouds Media Group intakutakia maisha mema ya ndoa na Mungu awaongoze katika kila jambo..Amen.2 comments:

  1. fresh zime2lia

    ReplyDelete
  2. hongerasn PJ umeoa mke mzurisana Mmungu awajaliie furaha na aman katika maisha mapya ya ndoa.

    ReplyDelete


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com