Jul 6, 2013

Svellana Nyameyo anyakua taji la Redd's Miss Temeke 2013

Usiku wa kuamkia leo kulifanyika Shindano la kumsaka mrimbwende wa Temeke, ambapo Svtlona Nyameyo aliwamwaga warembo 15 na kuibuka kidedea, huku nafasi ya pili ikitua kwa Narietha Boniface na Latifa Mohamed akifunga pazia la Tatu Bora itakayojiunga katika kambi ya Taifa ya kumsaka Miss Tanzania 2013/14.


0 comments:

Post a Comment


DESIGNED

THIS BLOG IS DESIGNED BY DESY ERNEST | PHONE NUMBER : +255-714-890-227 | EMAIL : desy@g5click.com